Habari ndugu wajumbe wa MDCS, Natumain ni wazima wa afya na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku,
Tazama jinsi itakavyoonekana katika search engine ya google hapa chini
Picha ya hapo juu ndio muonekano utakaouona baada ya hapo bofya hilo neno MDCS TANZANIA Ili kufungua Mtandao na huu hapa chini kwa kifupi ndio muoonekano halisi wa Mtandao wa MDCS.
Natumain nitakua nimeeleweka na kama bado pata nakala yako ya Muhtasari ujifunze zaidi lakini elimu hii inatakiwa kuwafikia wajumbe wote wa MDCS Ikiwemo mjumbe aliekopo hio pesa anatakiwa kufahamu hivyo kua asikae nayo kwa kipindi cha muda wa miezi mitatu ili aje atoe kwa pamoja hapo atazuia wengine kukopa.
2. SWALA LA UCHAGUZI.
Katika kikao kilichopita tulipendekeza tufanye uchaguzi ifikapo mwezi wa kwanza lakini kutokana na katiba yetu imeshindikana kulitangaza hilo kwasababu kuna kamati mbili ambazo zinatakiwa zianze kuchaguliwa miezi mitano kabla ya uchaguzi, kwahio katika kikao hiki kilichofanyika ijumaa ya tarehe 10/11/2017 tulikubaliana kutangaza nafasi za uongozi wa KAMATI YA MAADILI NA KAMATI YA WAJUMBE WA TUME HURU YA UCHAGUZI. kWAHIO TUNAOMBA WAJUMBE Wawili katika kila kamati hivyo jumla wanatakiwa wajumbe wanne wawe viongozi wa kamati hizo. kwa yeyote mwana MDCS Anaruhusiwa kuomba nafasi hizo baada ya kupatikana watu hao ndipo tuta tangazo siku ya uchaguzi. Maombi yatumwe kwa katibu Mkuu wa MDCS Kupitia anuani hii
KATIBU MKUU WA (MDCS),
MUUNGANO DEVELOPMENT COMMUNITY SERVICES
P.O.BOX 61376
DAR ES SALAAM
TANZANIA
Unaweza kutuma maombi yako kupitia baruapepe ya Katibu omarymbaraka@gmail.com au barua pepe ya MDCS ambayo ni mdcstza@gmail.com
3.RIPOTI YA MICHANGO.
Baada ya yote hayo ndugu mhadhini alitoa Ripoti ya michango jinsi inavyoendelea na kusema kua mpaka sasa wadaiwa watano na wasiodaiwa sita kwahio aliwaomba wadaiwa wote wajitahidi kulipa kwa wakati.
Hapo itakua ndio mwisho wa ripoti yetu nawatakaia kila la kheri na Pia mahudhurio katika vikao muhimu sana ukiwa kama mjumbe faini ipo kwa wasiohudhuria vikao bila taarifa.
Nikiwa kama katibu pia ni mtengenezaji na mwandishi wa mtandao wetu huu kwa ajili ya kusaidia kupeana habari zinazohusu MDCS.
Bila kupoteza muda hii ni taarifa ya kwanza kuwekwa katika mtandao wetu huu wa MDCS Maarufu kama Blog. kabla ya taarifa ni vizuri ukafahamu namana ya kuutafuta mtandao wetu, Jina la mtandao huu ni MDCS TANZANIA Hivyo ukiingia Google search Andika MDCS TANZANIA NA Itatokea katika kurasa za mwanzo kabisa.
Tazama jinsi itakavyoonekana katika search engine ya google hapa chini
Picha ya hapo juu ndio muonekano utakaouona baada ya hapo bofya hilo neno MDCS TANZANIA Ili kufungua Mtandao na huu hapa chini kwa kifupi ndio muoonekano halisi wa Mtandao wa MDCS.
Natumain mpaka sasa utakua umeelewa namna ya kutafuta mtandao wetu wa MDCS Kupitia google search hapo juu ni muonekano wa blog yetu ambayo taarifa zote za MDCS Zitapatikana hapo.
TAARIFA YA KIKAO CHA 14.
Ndugu wajumbe natumain wengi wenu hamkuhudhuria kikao kilichofanyika ijumaa iliopita ya tarehe 10/11/2017 Lakini kikao kiliisha salama na taarifa ifuatayo inakuhusu na vizuri umwambie na mwenzako pindi uipatapo taarifa hii au mshirikishe kwa kushare Link ya taarifa kupitia email yake au WhatsApp.
Kikao kilikua na agenda kuu tatu za muhimu ambazo ni
1.MCHANGANUA WA MAREJESHO YA MKOPO NA RIBA YA ASILIMIA 5
2.SWALA LA UCHAGUZI
3.RIPOTI YA MICHANGO
Lakini mbali na hizo kubwa tatu pia kulikua na swala MKONO WA HONGERA KWA MWANA MDCS ALIEOA SIKU CHACHE ZILIZOPITA Ndugu Omary Mbaraka ambaye aliwashukuru wajumbe wote kwa ushirikiano wao Na pia kulikua na mwanachama mwingine Ndugu Chikumbiro Bwire ambaye mkewe alibahatika kujifungua mtoto siku ya tarehe moja mwezi huu wa kumi na moja mwaka huu wa 2017. Hivyo kikao kilipendekeza kiasi cha shilingi elfu tano 5,000/ kichangwe kwa kila mwana MDCS Ili apewe kama hongera ya Uzazi inavyosema katika katiba yetu.
TAARIFA YA AGENDA YA KWANZA YA MCHANGANUA,
Ndugu mjumbe ni vizuri kufahamu kipengele hiki kwani ni muhimu sana mchanganuo huu uliendana na mfano hai wa mjumbe aliekopa shilingi laki mbili kama ifuatavyo;
Katiba yetu ya MDCS Inasema kwa mwana MDCS Yeyote atakayekopa riba yake itakua ni asilimia 05 kwa kipindi cha miezi mitatu lakini iwapo atashindwa kurejesha ndani ya miezi hio mitatu na ikapita zaidi ya miezi hio basi atatakiwa kurejesha mkopo wake kwa asilimia kumi.
Je aliekopa laki mbili atarejesha vipi kwa miezi mitatu?
Ndugu Mwana MDCS Tambua kwamba hio asilimia tatu kwa miezi mitatu sio fixed nikiwa na maana miezi yote mitatu utalipa asilimia tano LAHASHA! Iko hivi;
Mfano; umekopa laki mbili 200,000/= riba yake asilimia 05 ambayo nisawa na laki mbili na kumi 210,000/= kama utalipa kwa mara moja. ila Ikiwa utalipa kwa kipindi cha miezi mitatu utalipa kwa mpangilio huu hapa chini;
Mwezi wa kwanza:
200,000/= Utarejesha shilingi elfu sabini 70,000/= ukijumlisha riba ya asilimia tano ya 200,000/= ambayo ni 10,000/= utapaswa kurejesha shilingi 80,000/= mwezi wa kwanza.
Mwezi wa pili:
Baada ya KUTOA 70,000/= Katika 200,000/= ITABAKI 130,000/= Ambayo riba ya asilimia 5 ni 6,500/= Katika 130,000 REJESHA SHILINGI ELFU 70,000 + (6500 Ambayo ni Riba ya 130,000) kwahio mwezi huu wa pili utalipa 76,500/=
Mwezi Wa Tatu:
Katika 130,000 ukitoa 70,000 utabaki na 60,000 ili umalize rejesho la mkopo wako wa laki mbili mwanzo ulitoa 70 elfu pili ukatoa 70 elfu na sasa unamaliza 60 elfu hivyo kiasi hiki kilichobaki riba yake YA asilimia 5 NI shilingi 3000 kwahio utachukua shilingi 60000 + 3000 = 630,000 hapo utakua umemaliza hivyo jumla utakua umelipa kiasi cha shilingi,,
Mwezi wa 1
200,000 Mkopo, | 70000 Rejesho la kwanza + 10,000 Riba asilimia 5 ya 200,000 = 80,000 Rejesho
Mwezi wa 2
130,000 Mkopo, | 70,000 Rejesho la pili + 6,500 Riba ya asilimia 5 ya 130,000 = 76,500 Rejesho
Mwezi wa 3
60,000 Mkopo, | 60,000 Rejesho la tatu + 3000 Riba ya asilimia 5 ya 60,000 = 63,000 Rejesho LA MWISHO
Kwahio.
80000 + 76500 + 63000 = 219,500

219,500 - 200,000 = (19500 Riba kwa miezi yote mitatu.)
Natumain nitakua nimeeleweka na kama bado pata nakala yako ya Muhtasari ujifunze zaidi lakini elimu hii inatakiwa kuwafikia wajumbe wote wa MDCS Ikiwemo mjumbe aliekopo hio pesa anatakiwa kufahamu hivyo kua asikae nayo kwa kipindi cha muda wa miezi mitatu ili aje atoe kwa pamoja hapo atazuia wengine kukopa.
2. SWALA LA UCHAGUZI.
Katika kikao kilichopita tulipendekeza tufanye uchaguzi ifikapo mwezi wa kwanza lakini kutokana na katiba yetu imeshindikana kulitangaza hilo kwasababu kuna kamati mbili ambazo zinatakiwa zianze kuchaguliwa miezi mitano kabla ya uchaguzi, kwahio katika kikao hiki kilichofanyika ijumaa ya tarehe 10/11/2017 tulikubaliana kutangaza nafasi za uongozi wa KAMATI YA MAADILI NA KAMATI YA WAJUMBE WA TUME HURU YA UCHAGUZI. kWAHIO TUNAOMBA WAJUMBE Wawili katika kila kamati hivyo jumla wanatakiwa wajumbe wanne wawe viongozi wa kamati hizo. kwa yeyote mwana MDCS Anaruhusiwa kuomba nafasi hizo baada ya kupatikana watu hao ndipo tuta tangazo siku ya uchaguzi. Maombi yatumwe kwa katibu Mkuu wa MDCS Kupitia anuani hii
KATIBU MKUU WA (MDCS),
MUUNGANO DEVELOPMENT COMMUNITY SERVICES
P.O.BOX 61376
DAR ES SALAAM
TANZANIA
Unaweza kutuma maombi yako kupitia baruapepe ya Katibu omarymbaraka@gmail.com au barua pepe ya MDCS ambayo ni mdcstza@gmail.com
3.RIPOTI YA MICHANGO.
Baada ya yote hayo ndugu mhadhini alitoa Ripoti ya michango jinsi inavyoendelea na kusema kua mpaka sasa wadaiwa watano na wasiodaiwa sita kwahio aliwaomba wadaiwa wote wajitahidi kulipa kwa wakati.
Hapo itakua ndio mwisho wa ripoti yetu nawatakaia kila la kheri na Pia mahudhurio katika vikao muhimu sana ukiwa kama mjumbe faini ipo kwa wasiohudhuria vikao bila taarifa.
Wenu katibu wa muda,muandishi wa mihutasari na muwekaji wa habari katika mtandao wetu kariuni tena kwa taarifa zaidi
Written and Posted By Omary Mbaraka
0 comments:
Post a Comment