Habari na karibu katika TAARIFA ZA MDCS Ni mimi katibu wako Ndugu Omary Mbaraka Nikikuletea taarifa maelezo na uchambuzi wa kina kutoka katika kikao cha MDCS TANZANIA Kilichofanyika Dar es salaam Kwa AZIZI ALLY siku ya tarehe 27.12.2017

Bila kupoteza muda tuanze na agenda zilizogonga vichwa mbalimbali ambazo tulienda kuzijadili na kuzipatia muafaka zilikua kama ifuatavyo.

1. TAARIFA YA MSIBA NA MCHANGANUA WAKE
2. RIPOT YA MICHANGO
3. MAPITIO YA KATIBA KIPENGELE CHA HONGERA
4. MAELEZO KUHUSU NAMNA YA UTOAJI MIKOPO
MENGINEYO NA KUFUNGA KIKAO

Ndugu mjumbe wa MDCS TANZANIA Hizi ndizo AGENDA Zilizoletwa mbele ya kikao natulizijadili na kupata muafaka kama ifuatavyo tukipitia agenda moja baada ya nyingine.

1.TAARIFA YA MSIBA NA MCHANGANUA WAKE
Ndugu wajumbe wa MDCS TANZANIA Kwa pamoja tunafahamu kua mnamo tarehe 26.11.2017 Tulimpoteza mpambanaji mwenzetu wa MDCS Ndugu Davidi Nguttu Ndege ambaye alifariki kwa ajari ya gari katika mataa ya TAZARA Siku ya Novemba 22, 2017. Kwa kuthamini mchango wake kwa pamoja katika kikao tulisimama wote kwa ishara ya kumuezi,kumkumbuka na kumuombea ndugu yetu huko alipo apunzike kwa amani. Baada ya hapo tulikaa na kuendelea na kikao.

Agenda hii tuliijadili na kuimaliza mchanganuo wa msiba huu tulishautoa katika Post iliopita kama hujausoma BOFYA HAPA Pia tulimalizia agenda hii kwa kukubaliana kua kuanzia sasa mwanachama anapofariki au dharura yoyote ile ambayo itahitaji kila mwanachama kuchangia basi kama hana atapaswa kujaza fomu maalum ya kukubali kuja kulipa pesa hio na kisha pesa itatolewa katika mfuko.

2.RIPOTI YA MICHANGO.

Agenda hii ya pili ilikua inamuhusu ndugu mhadhini kusoma ripoti ya MICHANGO ya ada ya kila mwezi na madeni ya MIKOPO kwa ujumla toka kuanzishwa kwa MDCS TANZANIA Mnamo mwezi wa tano  Hadi sasa ma.....Inaendelea.......................

0 comments:

Post a Comment

 
Top