Habari ndugu wanachama wa MDCS TANZANIA Uongozi unapenda kuwatangazia wajumbe wote ambao hawajajaza fomu ya usajili wajaze sasa kupitia mtandao na kisha watume fomu zao kupitia email na kama huwezi kujaza fomu hii basi ni vizuri ukamuomba katibu fomu hii ii akupe mkononi uijaze kisha uirudishe.
Ili ujaze fomu hii ni lazima kwanza u iprint ukiwa mtandaoni katika computer ambayo imeunganishwa na printer kisha ijaze baada ya kuiprint Ukimaliza kujaza ilete ofisini au mpe katibu.
Print kisha ijaze ukiwa online baada ya hapo itume kwenda Email: mdcstza@gmail.com katika mfumo wa attachment.
Ifuatayo ni link ya ku download au kuprint fomu hii ya usajili kwa mwanachama yeyote anayetaka kujiunga na MDCS Tanzania
Pia Napenda kuwakumbusha kua ni vyema kujaza fomu hii ya mrithi ili
kuepusha usumbufu usio wa lazima pale litakapotokea tatizo, Mfano
mwanachama amefariki na hakujaza mrithi ILI Kuepusha usumbufu
huo UONGOZI Umeona ni vizuri katika fomu
ya kujiunga shilingi 10,000/= humo humo ujaze mrithi wako mapema
Imeandikwa na kuchapwa na
Katibu wa muda MDCS,
Ndugu Omary Mbaraka.
0 comments:
Post a Comment