Tangazo la kikao cha pili kama linavyojieleza katika picha hapo juu kifupi ni kwamba kwa wana taasisi wote wa MDCS mnatakiwa kuhudhuria kikao cha PILI kitakachofanyika siku ya jumapili ya tarehe 26 katika ukumbi wa CHARIS FOOD PLUS mkabala na geti kuu la amana hospital mkono wa kulia. Kiingilio ni kinywaji chako utakachonunua Ukija na shilingi elfu moja 1,000/= itatosha sana PIA KUTAKUA NA KOPI ZA muhtasari wa kikao kilichopita ambacho utachangia shilingi 500 miatano. kikao kitaanza muda wa saa mbili hadi saa nne asubuhi. AGENDA KUU Zitakua ni zile tatu ambazo hatukuzimalizia kutokana na mahudhurio ambazo ni ADA NA KIINGILIO, UCHAGUZI WA VIONGOZI NA KUFUNGUA AKAUNTI YA JUMUIA. Kwa maelezo zaidi jinsi ya kufika tafadhali piga simu namba hizi hapa.
0766 930 704/0788 888 128
Chikumbiro Bwire au


0654 291 932
Omary Mbaraka


Kufika kwako ndio mafanikio ya kikao hiki fika bila kukosa Tafadhari


Wenu,
Omary Mbaraka
Katibu wa muda
mionomedia.com

0 comments:

Post a Comment

 
Top